Kiikwere

Kiikwere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waikwere. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiikwere imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikwere iko katika kundi la Kiigboidi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search